Msaada jinsi ya kununua hisa

Almandy

Member
Joined
May 9, 2013
Posts
18
Reaction score
3
Wandugu kama kuna mtu anaweza nielezea jinsi ya kununua hisa za tcc au tbl naomba anisaidie.
 
Reactions: EMT
Mkuu ,ununuzi wa hiza wasiliana na stock brokers waliyosajiliwa na Dar es salaam stock exchange kama Tanzania securities ,Orbit ,Rasilimali,Vertex,Zan securities watakusaidia taratibu za kufuata ili uweze kununua hisa.Ila hizo hisa unazozihitaji(za TCC na TBL) ni ngumu kuzipata sokoni.Labda kama kuna member humu anataka kuuza mfanye biashara.

Kila la kheri katika uwekezaji!
 
Reactions: EMT
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…