chumachakavu
Member
- Oct 1, 2017
- 53
- 62
Habari ndg zangu, kuna kijana mmoja alikuwa anaishi na mama yake Jijini Dar salaam,baba yake alifariki muda mrefu,mwaka jana kabla ya kufanya mitihani ya kidato cha nne mama yake nae alifariki, kijana huyo Mungu amemsaidia amefaulu na amepangiwa Temeke sekondari, kwa bahati mbaya shule ile ni ya kutwa nae hana mtu wa kuishi nae hapa jijini Dar.
kwa sasa anaishi na mama yake mkubwa huko Kisarawe Kijijini, Ameniuliza kama anaweza kubadilishiwa shule kwenda boarding, nikaona subiri niwauliza ndugu zangu humu Jamii Forums,je inawezekana na kama inawezekana wapi anaweza kupata huduma hii?
Wizara ya elimu au TAMISEMI au kwa Afisa elimu mkoa?
Naombeni majibu ndg zangu.
Mungu awabariki
Pia soma ~ Mwanafunzi wa Kidato cha 5 fanya haya ikiwa unataka kubadili tahasusi tofauti na uliyopangiwa