chumachakavu
Member
- Oct 1, 2017
- 55
- 103
AsanteUtaribu ni aende akaripoti afu anatafta shule aombe nafasi akishapata nafasi ndo anamwambia mkuu wa shule aliyopangiwa then process ndo znaanza uzur siku izi n simple ni online wenyewe KWA wenyew wakuu wa shule ..,.ni ivyo
Anaweza kupiga simu huduma kwa wateja Tamisemi. Inawezekana au kwa afisa elimu mapema.Habari ndg zangu, kuna kijana mmoja alikuwa anaishi na mama yake Jijini Dar salaam,baba yake alifariki muda mrefu,mwaka jana kabla ya kufanya mitihani ya kidato cha nne mama yake nae alifariki...
Mimi ni mwanafunzi niliyrpangiwa advance first selection tamisemi uko rukwa ila kutokana na changamoto zilizo nje ya uwezo wangu ningependa kuhama bila ya kuripoti hivyo ningependa kujua utaratibu jinsi ulivyo
Ili kuepusha gharama kutokana na umbali ndugu zangu
Comb aliyopangiwa H.G.K
Shule.matai Rukwa, Kalambo dc