Msaada jinsi ya kuomba mkopo kwa wanafunzi ambao hawakupota mwaka ulio pita

Msaada jinsi ya kuomba mkopo kwa wanafunzi ambao hawakupota mwaka ulio pita

millz

Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
85
Reaction score
14
Tafadhali naomba msada wenu wakuu jinsi ya kuomba mkopo tena kama ulikosa awamu iliyopita
 
Tafadhali naomba msada wenu wakuu jinsi ya kuomba mkopo tena kama ulikosa awamu iliyopita

Hata mimi ckupata mwakajana, nipo chuo, ongea na uongoz wa chuo, jaza fom kama 1st applicant, lon officer na mkuu wa chuo aandike covering letter, matokeo na admission no yako ziwe kwa barua kuonesha kuwa we ni mwanafunzi wa chuo na hukupata mkopo.
 
Back
Top Bottom