M millz Member Joined Apr 12, 2013 Posts 85 Reaction score 14 Jun 4, 2014 #1 Tafadhali naomba msada wenu wakuu jinsi ya kuomba mkopo tena kama ulikosa awamu iliyopita
K kajaga88 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2013 Posts 228 Reaction score 31 Jun 4, 2014 #2 millz said: Tafadhali naomba msada wenu wakuu jinsi ya kuomba mkopo tena kama ulikosa awamu iliyopita Click to expand... Hata mimi ckupata mwakajana, nipo chuo, ongea na uongoz wa chuo, jaza fom kama 1st applicant, lon officer na mkuu wa chuo aandike covering letter, matokeo na admission no yako ziwe kwa barua kuonesha kuwa we ni mwanafunzi wa chuo na hukupata mkopo.
millz said: Tafadhali naomba msada wenu wakuu jinsi ya kuomba mkopo tena kama ulikosa awamu iliyopita Click to expand... Hata mimi ckupata mwakajana, nipo chuo, ongea na uongoz wa chuo, jaza fom kama 1st applicant, lon officer na mkuu wa chuo aandike covering letter, matokeo na admission no yako ziwe kwa barua kuonesha kuwa we ni mwanafunzi wa chuo na hukupata mkopo.
M millz Member Joined Apr 12, 2013 Posts 85 Reaction score 14 Jun 4, 2014 Thread starter #3 Asantante mkuuu