STEPHEN JIBE
Member
- Jan 23, 2013
- 61
- 8
Asanteni jamani nawashkur sana
Mwaijibe bado kuwa na subira utaziona tu!
Natanguliza shukran za dhat kwenu,
naomba mnisaidie namna ya kuziona post za ualimu kwenye mitanao au anuan inayoonesha post hizo,
asante,
mwana jf mwenzenu