Msaada; Jinsi ya kuondoa harufu kali ya Jasho

Msaada; Jinsi ya kuondoa harufu kali ya Jasho

Mahug

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
36
Reaction score
7
nina tatizo la Kutokwa jasho sana,....lakini pia Jasho linaharufu kali na mara nyingi huleta rangi makwapani katika shati hasa jeupe,ni njia gani za kuondoa tatizo hili?
 
Tumia Driclor.........igoogle.......
 
nina tatizo la Kutokwa jasho sana,....lakini pia Jasho linaharufu kali na mara nyingi huleta rangi makwapani katika shati hasa jeupe,ni njia gani za kuondoa tatizo hili?

Kwanza anza na vyakula unavyokula.

Punguza kula vyakula vyenye viungo vyenye harufu kali kama binzari, vitunguu saumu, na kadhalika.

Pili, kama unaweza jaribu kutumia clinical strength anti-perspirant deodorants kama hii

secret-clinical-strength-antiperspirant-en.jpg


Tatu, kuepuka rangi jaribu kutumia underarm pads kama hii

advadri_quickshield.jpg


Nne, ukifuata hizo njia tatu nilizoziweka hapo juu basi tatizo lako litapungua kwa kiasi kikubwa sana.
 
Hili tatizo ni sugu na nadhani halina ufumbuzi wa kihospitali im also a victim na inatesa sana jamani coz unafeel not comfortable kujumuika na watu kwasababu inafikia muda mpaka nzi wanakuwa wanakuzunguka.
 
DAWA NI RAHISI SANA ukienda kuoga jipake limau au ndimu makwapani kabla hujajipaka sabuni kisha subir kama dakika moja au mbili kisha endelea kuoga kawaida.kama vp ni pm
 
Tatizo hilo linatokana na mambo kama upungufu wa madini ya zinki, ugonjwa wa kisukari au ini, Kukosa choo kulikokithiri na aina fulani ya parasites walioko mwilini mwako! Unaweza kutumia ndimu tatizo bado likaendelea kuwepo kwa kuwa una-deal na tawi wakati mzizi hujaugusa!
 
pole mkuu, hii kali mpka unajikimbia
 
Back
Top Bottom