nina tatizo la Kutokwa jasho sana,....lakini pia Jasho linaharufu kali na mara nyingi huleta rangi makwapani katika shati hasa jeupe,ni njia gani za kuondoa tatizo hili?
nina tatizo la Kutokwa jasho sana,....lakini pia Jasho linaharufu kali na mara nyingi huleta rangi makwapani katika shati hasa jeupe,ni njia gani za kuondoa tatizo hili?
Hili tatizo ni sugu na nadhani halina ufumbuzi wa kihospitali im also a victim na inatesa sana jamani coz unafeel not comfortable kujumuika na watu kwasababu inafikia muda mpaka nzi wanakuwa wanakuzunguka.
DAWA NI RAHISI SANA ukienda kuoga jipake limau au ndimu makwapani kabla hujajipaka sabuni kisha subir kama dakika moja au mbili kisha endelea kuoga kawaida.kama vp ni pm
Tatizo hilo linatokana na mambo kama upungufu wa madini ya zinki, ugonjwa wa kisukari au ini, Kukosa choo kulikokithiri na aina fulani ya parasites walioko mwilini mwako! Unaweza kutumia ndimu tatizo bado likaendelea kuwepo kwa kuwa una-deal na tawi wakati mzizi hujaugusa!