Msaada jinsi ya kuondoa taarifa zilizojazwa kimakosa Ajira Portal kipengele cha Academic Qualifications

Msaada jinsi ya kuondoa taarifa zilizojazwa kimakosa Ajira Portal kipengele cha Academic Qualifications

Jackson Shadrack

New Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Samahani ndugu zangu wapendwa, nisaidieni jinsi ya kuondoa taarifa zilizo jazwa kimakosa kwenye ajira portal pale kwenye academic qualifications
 
Sometimes unatuma malalamiko yako kupitia email Yao,au ukishindwa kama una access ya kwenda ofisi zao inakua ni rahisi zaidi
 
Kam munaishi Dar. Nendeni feri pale kwny jengo la Utumishi uliza ofisi ya ajira Portal iko wap mlinz atakupeleka. Nenda Kesho mapem usikose Leo niliend wapo. Sas ukidelay usipoend Na skukuu zikianz utajua hujui . Maan wan kawaid ya kufung ofis hat Kam ni Sik za kaz na huwakut
 
Back
Top Bottom