uniquelady
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 420
- 177
Habari zenu mabibi na mabwana ,kwa yeyote mwenye uzoefu jinsi ya kuondoa tumbo baada ya kujifungua naomba anielekeze ili niweze kurudia hali yangu ya kawaida .
Mchango wako ni wa muhimu sana ,karibuni
Nakaribia kufikisha siku arobaini ,kilo sijapima toka nijifungueLina mda gani? Toka umejifungua na unakilo ngapi Kwa sasa ?
kama ni njia ya kawaida funga belt japo najua linarudi lenyewe bado badoNakaribia kufikisha siku arobaini ,kilo sijapima toka nijifungue
Acha kula kula nyingi. Jibane na hasa visusio, mikia, vyuku na mabiaHabari zenu mabibi na mabwana ,kwa yeyote mwenye uzoefu jinsi ya kuondoa tumbo baada ya kujifungua naomba anielekeze ili niweze kurudia hali yangu ya kawaida .
Mchango wako ni wa muhimu sana ,karibuni
Yeah ni njia ya kawaida ,hilo belt lipi? Linauzwa au ndo kufunga kanga au kitenge?kama ni njia ya kawaida funga belt japo najua linarudi lenyewe bado bado
belt inauzwa ila kama huwezi nunua sa hivi funga kangaYeah ni njia ya kawaida ,hilo belt lipi? Linauzwa au ndo kufunga kanga au kitenge?
Sh.ngapi? Haina side effects kuhusu kuzaa baadae?kama ushatumia dadabelt inauzwa ila kama huwezi nunua sa hivi funga kanga
Kama ni operation unafanye ndgkama ni njia ya kawaida funga belt japo najua linarudi lenyewe bado bado
operation me sikufunga nikaacha lipungue lenyewe japo me si mpenzi wa kula sana so ilinisaidia pia hiyo tumbo kurudi..Kama ni operation unafanye ndg
sijui kama kuna side effect kuna belt original kuanzia laki na nusu mpaka mingine wanauza 40 ambayo siyo original ,, ingia Instagram utaona matangazoSh.ngapi? Haina side effects kuhusu kuzaa baadae?kama ushatumia dada
Asante ntajaribu kufuatilia ,be blessedsijui kama kuna side effect kuna belt original kuanzia laki na nusu mpaka mingine wanauza 40 ambayo siyo original ,, ingia Instagram utaona matangazo
Nakaribia kufikisha siku arobaini ,kilo sijapima toka nijifungue
Ukijifungua kwa njia ya kawaida, jitahidi ufunge tumbo kama una belt sawa ila ule muda unakaa ndani hata kanga inafaa....Asante ntajaribu kufuatilia ,be blessed