Msaada jinsi ya kuongeza "confidence"

Namaanisha kujivunia kipaji chako, mfano wewe muimbaji, mwanasoka, mchoraji chochote ulichonacho cha pekee ukiweza jitambua jivunie kuwa nacho utajikuta unajiamini kwa kipaji chako
 
Namaanisha kujivunia kipaji chako, mfano wewe muimbaji, mwanasoka, mchoraji chochote ulichonacho cha pekee ukiweza jitambua jivunie kuwa nacho utajikuta unajiamini kwa kipaji chako
Not necessary kipaji mkuu manake sio wote wanautambuzi wa vipaji vyao! So anaweza Kuanzia km nilivyoelezea!
 
Mimi nawachukulia watu 400 kama wawili halafu ni wavuta bangi wala sipati tatizo kabisa kuongea na wavuta bangi wawili
 
Hilo ni tatizo kubwa kwa wa tz. Ndio maana watu Wengi wanakuwa walevi vyuoni. Kama ukshindwa kabisaaaa jaribu viroba kila unapopata kusimama mbele ya watu. Rejea, kitwanga.
Mkuu umefanya cku yngu,nmecheka sanaaaa,ahsante
 
Vitu vya kufanya ili kuongeza confidence ni
1. Kuwa msafi
2. Soma quotes
3. Jikubali
4. Usipende kukumbushia mambo yaliyopita mf:kama kuna tukio ulilowah kuaibika usipende kujikumbusha
 
Kitu ambacho ni adui wa "confidence" ni kuwa na " fear and negative altitude " juu ya jambo Fulani. Pia kuogopa kukosea na kukosolewa nako kunachangia pakubwa kupunguza au kuondoa kabisa "confidence" ya mtu.

"To enhance or increase confidence just change your mind set from thinking negativity and turn it into positivity".

Kwa mfano: mpaka sasa umeonesha mwanzo mzuri na unaweza ukaendea kufanya vizuri. Wapo watu wengi wamekuwa na hofu ya kuposti and Mada hapa jamii forum hii yote ni kukosa "confidence"...hofu ya kuogopa "critics and challenge" mtu anaishia kusoma kile ambacho wengine wana post au ku-comment.

Kuto Mada yako hapa ni hatua nzuri kujaongoa challenge wala critics ambazo ni confidence suppressors kubwa
 
acha kujilinganisha na ongea chochote mbele ya watu,jifanye kama mtu anayetaka kujifunza englishi mbele ya waswahili
bt kwa vile unakwenda chuo kikuu utaimarika maana kuna vyuo mwanafunzi unatakiwa kufanya presentation mbele ya wenzako
 
Knowledge and Skills are the great source of confidence!
 
Hapa penyewe kabisa
Umenigusa
 
Asante
 
Pia unaweza kuhudhuria public speaking courses. Kuna consultancy firms zinaendesha kozi hizo na zimesaidia wengi.
 
Confidence, confidence

Kama ni presentation... Fanya yafuatayo

1. Hakikisha unakijua kiundani kitu ambacho utapresent
2. Kabla ya kupresen mbele za watu wengi present kwanza kwa rafiki zako 2 au 3
3. Vaa vizuri, muonekano unaongeza kujiamini.
4. Ukifika mbela za watu. Salimia, kisha kabla ya kwenda kwenye subject matter anza na kautani kidogo.
5. Usimwangalie mtu mmoja usoni moja Kwa moja, angalia pande zote kwenye usawa wa mapaji ya uso.
6. Usisimame sehem moja, tembea tembea kidogo ka utasimama sehem moja rahis kuanza kutetemeka.

Kama unataka confidence ya kuongea na mtu mmoja, let say Msichana au mvulana fanya yafuatayo:

1. Jaribu kumjua kwa muhtasari mtu ambaye anatarajia kuongea naye.
2. Kuwa subira, usiongee mengi sana mwanzo
3. Kama unayeongea naye unakuangalia sana usoni basi we hakikisha haipati mboni yako na kama unayeongea naye anaangalia chini hakikisha unamwangalia usawa wa macho yako ili akiinuka tu akutane na macho yako.
4. Dhibiti mwenendo wako wa upumuaji. Kuvuta kwa pua kutolea kwa mdomo kutakusaidia kupoza moyo kwenda mbio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…