Kwa sababu umeshafafanua ni sekta ipi unamipango kuingia: IT, inategemea kama utakachouza ni product au ni service. Hapo bei basi itakuwa tofauti.
kama ni product, basi utafuata mfumo wa cost-plus kwani hapo hapo inabidi urudishe costs zako na kupata profit margin yako.
Kama unachouza ni service, basi, utaangalia initial costs kwako ku'implement hiyo service, na kuona kama kuna ulazima wa ku'recover costs zote kwa mpigo au utazi'distribute over the term of the service.
Mfano, Kama utatoa service ya PC Support, basi mteja atalipa kwa mwezi/miezi sita/mwaka, na hiyo contract kuwa renewed over time. Hapo basi utaamua ni kiasi gani kila mwezi utarudisha costs, na kuasi gani itakuwa faida.
Wengine wameongea kuhusu environment yenyewe, kwa hivyo bei ambayo mteja anaweza kuimudu pia itakusaidia kupata figures zipi za kuanzia.
Andika hapa chini bei yako ukiilinganisha na vitu hivi viwili
My Product Tray ya mayai Petro (litre) Mkate Soda maji (330ml)
----------- -------------- ----------- ------ ------ -------
XYZ 5500 2150 850 650 300
Hapo factor of 0 - 65% inaweza kutumika kuangalia affordability vs disposable income kwa a basic product/service
A factor of 65 - 150% can be used for a high end product/service.
If you find yourself needing to charge more than double the cost + plus, ujue it has to be a very exceptional product/service ambayo mtu mwingine kuiingilia ni vigumu kidogo.