Msaada jinsi ya kupata barua ya mwaliko Canada na Ulaya

Canada ni North America, hebu fanya home yako kwanza, uwe well informed then go for it.
 
Fuata utalatibu tu,izo barua za michongo hata bongo
Zipo ila mwisho wake ni kukufilisi ivyo viela ulivyojichanga na mwishowe kuludi bongo
 
Mambo Vp kama Bado Hujapata Mualiko au upo kwenye process , njoo nikupe mwaliko kama unataka kwenda Canada , Uk or Spain .. njoo
 
Mkuu hizi nchi zote ulizotaja na hata nyinginezo unaweza kupata visa bila barua ya mwaliko.
Barua ya mwaliko maana yake unaenda kumtembelea mtu/ unaenda kwa mtu kitu ambacho huwa sishauri sana itumike hasa ikiwa lengo lako ni kujilipua. Mialiko mingine kama conferences nk hii haina shida kwa mtu ambae hataki kurejea nyumbani baada ya kilichompeleka kukamilika

Unaweza kusema unaenda kutembea wewe mwenyewe binafsi ambapo watataka booking confirmation ya hotel ama apartment ambayo utafikia ukiwa nchi husika.
Hapo utataja vitu kadhaa ambavyo umepanga kuviona ukifika huko na wataangalia uwezo wako wa kifedha basi.

Ikiwa karatasi zako nyingine zote zimenyooka unapata visa bila tatizo.
 
Asante Uko sawa Ila nilikuwa nakuja kuelezea na hili ila umeniwahi na upo sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…