Jaribu kulipia hata kifurushi cha 10k kwa mwezi zitarudi. Itakuwa wamekata ili ulipie king'amuzi.Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi minne,
Sasa hvi hata hzo local zimeondoka naimebaki na Guide na ubc tu.
So nimekuja hapa kwa wanajf naomba msaada wenu. m shda yangu nipate zile za local ambazo huitaji kulipia
Natanguliza shukrani
10 k mbali lipa buku 4 itafunguka hiyo akaunt itaamkaJaribu kulipia hata kifurushi cha 10k kwa mwezi zitarudi. Itakuwa wamekata ili ulipie king'amuzi.
Soko la Startimes kila siku linashuka kutokana na kuwepo kwa Azam na Dstv.
N.B
Jaribu kureset kwanza king'amuzi chako uone km zitarudi