kama ulikuwa na cleaner yoyote ujue cache huna, ngumu sana hizo kukaa muda mrefu.
hii path ya cache
\AppData\Local\Google\Chrome\User Data\Default\Cache.
kuipata appdata nenda local disk c kisha user kisha chagua jina lako, yatakuja mafolder kama music, download, video etc, click view kwa juu kisha tick show hidden folders utaona folder la appdata linatokea. kama una windows ya kizamani ama os nyengine google namna ya kuonesha hidden files/folder