Msaada jinsi ya kupata Driving licence

Msaada jinsi ya kupata Driving licence

alex255

Senior Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
119
Reaction score
48
Habar wana jf ningependa kujua jinsi ya kpata licence kwa class D, E
 
Nenda driving school ukifuzu utaanza na madaraja madogo hilo la E ni baada ya miaka 3.
Dili sijui.
 
C yoyote ni lazima upate mafunzo ya NIT au VETA yale yanayoratibiwa na NIT
 
Nenda Driving school inayotambulika sio za vichochoroni au mtaani
 
Back
Top Bottom