Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzigo ni maharagwe na yapo strore. Sasa niko na option mbili niuzie huku huku au nipeleke dar kwasababu yatanilipa zaidi. Sasa kwenye swala la kusafilisha mzigo ndio mgeni kabisa ila nimeambiwa nahitaji kibali ila walio niambia pia hawajui hilo swala la kibali inabidi nianzie wapi niishie wapi. Hivyo nikaona nililete hili swala huku labda naweza pata majibu.Kupeleka wapi na mazao Gani? Na sh ngapi? Toa maelezo yaliyoshiva usaidiwe
Hahahahaaaa hapana ndugu sipeleki nje ni hapa hapa nchini, ila nimeambiwa nahitaji kibali ili kupita na mzigo getini, shida ni kwamba naanzia wapi kupata kibali na ofisi gani na niwe na nyaraka gani zingine ndio sijui.Sasa mkuu unataka upeleke nje ya nchi, na sisi tule nini?
chini ya tani moja huhitaji kibali, zaidi ya hapo ndo utahitaji kibali. unayatoa mkoa gani.Hahahahaaaa hapana ndugu sipeleki nje ni hapa hapa nchini, ila nimeambiwa nahitaji kibali ili kupita na mzigo getini, shida ni kwamba naanzia wapi kupata kibali na ofisi gani na niwe na nyaraka gani zingine ndio sijui.
Shukrani sana, mzigo unafika tani moja kamili, na kwa sasa nimeambiwa inabidi nimpate mtu mwenye leseni ya kununua na kuuza na kusafirisha mazao huyo ndio atanisaidia kupata kibali hicho.chini ya tani moja huhitaji kibali, zaidi ya hapo ndo utahitaji kibali. unayatoa mkoa gani.
Nita jitahidi nikisha fanikisha hili swala niulete uzi wa mlolongo mzima ili vijana wengine wanao anza na kutamani kufanya biashara kama hii waweze kua na pa kuanzia. Mambo mengi huwa yanatushinda kuyafanya kwasababu ya kuto kujua pakuanzia na kuogopa mlolongo uliopo kwa kudhania ni mrefu mno kwahiyo taarifa kama hizi ni muhimu watu kujua ndugu yanguNgoja wajuzi waje na mimi nipate shule
Ngoja wajuzi waje na mimi nipate shule