Msaada; Jinsi ya Kupata/Kusajili Number ya Malipo kupitia Simu za Mkononi

Msaada; Jinsi ya Kupata/Kusajili Number ya Malipo kupitia Simu za Mkononi

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,627
Reaction score
1,926
Za asubuhi waungwana,

Nadhani wote tunafahamu hizi namba za malipo ambazo tunatumia kuzilipa kampuni mbalimbali, zinakuaga tarakimu sita kama sikosei. Mfano kwa wale wanaobet, Premier Betting ni 500700, Meridian Bet ni 444999, Tatu Mzuka ni 555111, Bikosport ni 101010, etc

Sasa kuna Project/Biashara/Fursa nimeiona nataka niianzishe ambayo mteja atahitajika kulipia kupitia mfumo huu ili apate huduma. Nachoomba mnisaidie ni kua ni nani anasajili hizi number? Na nipitie njia gani ili niweze kusajiliwa kwenye hizi number?

Karibuni
 
Mkuu tembelea vodashop utapata Maelezo ya kutosha
 
They Will guide where to start
 
Back
Top Bottom