Hiyo namba sina nimetafuta mno sijafanikiwa kuipata maana nlisajili kipindi hicho bila ndaDuh. Nakushauri u renew ile namba
Simu hawapokei kila siku napiga yaani mpk nimekuja kwenu wadau nimeshachoka vikali mpaka nimelia sanaKama email unayo mbona siimple tu! Ukijaza hizo digit nenda kwenye email utakuta wamekutumia, kama hiyo haiweekani wapigie wakupe paswad nyingine