Msaada kwa anayefahamu jinsi ya kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi hasa Canada,Sweden,Australia au popote naomba ani PM no yake ntamtafuta au tuwasiliane 0762639283. Asanteni.
msaada kwa anaefahamu jinsi ya kupata schorlaship ya kusoma nje ya nchi hasa Canada,Sweden,Australia au popote naomba ani PM no yake ntamtafuta o tuwasiliane 0762639283 asanteni
Ingia google, jaribu kuangalia katika kila ubalozi wa nchi husika hapa tanzania.Pia jaribu kuangalia utumisha, ila nadhani nyingi huku ni kwa watu wa serikalini.Usichoke utafanikiwa ila vigezondo linakuwa tatizo kubwa.