Msaada Jinsi ya kupata simu iliyoibwa

Msaada Jinsi ya kupata simu iliyoibwa

sam002

New Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
3
Reaction score
0
Msaada jamani nimeibiwa simu jana jioni samsung s23ultra, wenye uwezo wa ku-trace
kila kitu chake ninacho.
 
nimeshapita sehemu zoote zenye mamlaka ya ku trace,
 
nimeshapita sehemu zoote zenye mamlaka ya ku trace,
Mimi niliibiwa Redmi note 11 Pro, Dec 24 mwaka jana hadi leo hii sijaipata. Police nilienda majibu haionekani kwenye system, endelea kukumbusha wahusika wanao trace pengine inaweza kuwa bahati yako ukaipata.

Pole
 
Kuna namna inawezekana lakini kama ni wezi og! Awezi pata simu labda wamuuzie mshamba ndo unaweza kuipata.
 
Msaada jamani nimeibiwa simu jana jioni samsung s23ultra, wenye uwezo wa ku-trace
kila kitu chake ninacho.
😁😁😁😁😜.leta izo imel zako tutrack simu yako iliyo badiliswa address!.
 
Ulii register kwenye ule mfumo wa find my phone kwasababu hakuna mtu ataweza itumia hiyo simu ikiwa registered kule bila kuonekana.

Ulirekodi IMEI ya simu yako?

Unayo ID yake ya kifaa cha mtandaoni? [emoji848]
 
Back
Top Bottom