Msaada: Jinsi ya kupata statement ya M-Pesa

Msaada: Jinsi ya kupata statement ya M-Pesa

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Wakuu nina uhitaji wa M-pesa statement ya kuanzia miaka miwili mpka mitatu.

Nimeingia kwenye app yao naona wanatoa tu min statement. Je, huduma hii ipo pasipo kufika ofisini kwao?

Asanteni
 
Moja ya service wanayoweza kuongezea, hata ikibidi kwa kulipia, ni mtu kuaccess SMS zako na stetimenti zako online.
 
Ngoja waje kukupa muongozo... Ni vizuri ukatembelea ofisi zao...
 
Inalipiwa kiasi gani!?
 
Back
Top Bottom