Msaada jinsi ya kupiga goli zaidi ya moja kwenye sex.

Msaada jinsi ya kupiga goli zaidi ya moja kwenye sex.

Super H

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
1,070
Reaction score
405
Wasaalam wakuu wangu,mimi uwezo wangu ni goli moja tu na huwa najitahidi kucheza na feeling zangu ili walau nimfikishe mwenza wangu kileleni na ikitokea siku sex ni tamu sana uvumilivu huwa unaniisha na kujikuta nimepiz na kumwacha mwenzangu akilalamika na hapo siwezi tena labda yapite masaa 6 ndio isimame tena.

Sasa huwa najiuliza sana nina matatizo au ndio kawaida embu nisaidieni wakuu.
 
ukiona unakaribia sitisha ujifanye kama unamkiss,harafu uendelee pia usiweke akili yako sana apo jitaid unaendelea uku unafikiria vitu vingine pia fanya mazoez ta kucontrol mkojo wako utafanikiwa kwa hilo
 
Kwa tikitak kipa haoni.fanya kam mpira wa kona hvi.
 
Mweh, haya waungwana, hapa nimepotea njia ngoja nile kona upande mwingine.
 
Hayo ni maumbile mdogo wangu. Mola kakuumbiaa hali hiyo. Hakuna utachoweza kufanya ili uwe na uwezo wa kupiga bao tatu kama sisi wengine labda utumie viagra. Your glans penis is very sensitive. Yaani unapokuwa na msisimko kidogo tu ngoma inatema kwa sababu ya kufika kileleni. Nakusahuri tumia kondom ili kupunguza sensitivity ya glans penis. Kumbuka wengine wana shida ya kutokojoa aka kutofika kileleni hata waki-do- kwa dakika 30 lakini wewe unafika too soon!! Pia umeshauriwa hapo na wakuu wengine kwamba ondoa mawazo kwenye mchezo ili ikusaidie kubaki uwanjani na mpira!! usitumie viagra kwani ndo itakumaliza kabisaaa hata hilo moja utashindwa funga sababuhaitosimamakabisa unless utumie tena, so at d end of d day unakuwa teja wa viagra!! cheers!!
 
ukiona unakaribia sitisha ujifanye kama unamkiss,harafu uendelee pia usiweke akili yako sana apo jitaid unaendelea uku unafikiria vitu vingine pia fanya mazoez ta kucontrol mkojo wako utafanikiwa kwa hilo
mbona kama hujanielewa ,ninauwezo wa kumfanya hadi akafika kileleni ila tu kuna mara mojamoja kamchezo kananoga sana na kujikuta napiz na yeye bado anahitaji na hapo ninakuwa siwezi tena
 
cha muhimu ni kucheza mpira vizuri na ukiona unakaribia kufunga jidondoshe na utapata penati na utafunga kirahisi hata kipa hataamini kuwa ni wewe.
PUNGUZA PUNYETO
 
hilo tatizo ni dogo sana
tatizo la kwanza ulilonalo ni kufikiria kuwa hauwezi kupiga zaidi ya goli moja kwa wakati, so cheza kwanza na saikojolea oh sory saikolojia yako ili ujijenge kuwa unaweza confedence
tatizo la pili ni uvivu, we dogo ni mvivu sana kitandani, so unatakiwa ujitume vya kutosha, cha kuweza kukusaidia ni kufanya mazoezi ili uvivu uishe. kwa kuanzia, kimbia angalau km 3 kila siku, utajenga pumzi na kisha utakuwa fiti
tatizo la tatu hujui kukis au dem wako anakinywa kichafu, sorry kwa kutumia lugha kavu, lakini mapenzi siyo uchafu mdogo wangu, unatakiwa kwanza umchezee mchuchu wako kwa kama lisaa limoja hivi, na katika kumchezea jifunze kujua sehemu zenye msisimko mkubwa kwake, na kwenda kwenye tunda iwe hatua ya mwisho kabisa. ukifika pale tulia, chezea lile apple vya kutosha, linyonye haswa (hakikisha ni pasafi vinginevyo utaotka na fangas za mdomo ambazo tiba yake ni ishu, hakikisha panaoshwa kwa detol), kisha ndo uingie, hapo utaenjoy na uwezekano wa kufika kwa pamoja ni mkubwa
tatizo la tatu ki kidudu chako, inawezekana umetahiri juzi tu au bado hujatahiri sasa kichwa (glans) yako inashika network vibaya sana (sensitivity in kubwa) maana vinginevyo ungesha pata trouma (usugu utokanao na kichwa kugusana na suruali au chupi. sasa cha kufanya piga puny.eto mara 2 kwa siku ili kwanza kujenga hisia na mazoezi ya kuamsha kwa hisia tu, na pili ili kupunguza network kwenye kichwa maana mkono ni mguma kidogo, uwe makini usichubuke bana. baada ya hapo ukifanikiwa utakuwa umejingea confidence na umetatua matati
mwisho kabisa chukua hatua, ukiona hapo umeshindwa nenda hospitali. usisahau kuwa mbayuwayu - changanya na za kwako utakuwa fiti
 
Wasaalam wakuu wangu,mimi uwezo wangu ni goli moja tu na huwa najitahidi kucheza na feeling zangu ili walau nimfikishe mwenza wangu kileleni na ikitokea siku sex ni tamu sana uvumilivu huwa unaniisha na kujikuta nimepiz na kumwacha mwenzangu akilalamika na hapo siwezi tena labda yapite masaa 6 ndio isimame tena.
Sasa huwa najiuliza sana nina matatizo au ndio kawaida embu nisaidieni wakuu.

Mbona wengine tunapiga goli moja tu lakini mziki wake ndio balaa.
 
Kunywa juice ya tende watakukoma lazima ukimnbiwe pia kula sana matikiti maji matango na mapera
 
Back
Top Bottom