Msaada jinsi ya kupika dagaa wa nyasa

Msaada jinsi ya kupika dagaa wa nyasa

Side coca

New Member
Joined
Sep 18, 2019
Posts
4
Reaction score
3
Msaada wa jinsi ya kupika Dagaa wa Nyasa?

2987898_images201.jpg
 
Kuna mama wa kingoni alinifundisha kuwapika Ila wale wakavu una watoa vichwa una waloweka zaidi ya lisaa 1 hivi. Viungo nyanya , kitunguu, maji, kitunguu thoumu, limao, hoho , karoti, na karanga zilizo sagwa vizuri. Ukisha kaanga vizuri mchanganyiko wako unaweka hao dagaa baada ya hapo unaweka karanga Ni tamu sanaaaa
 
Ni kweli wanapikwa hivyo, lakini kwa kweli hawavutii, hawana ladha
 
Back
Top Bottom