Msaada : Jinsi ya kupika kuku mfano wa ChickenKing au Marrybrown

NDUKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
3,422
Reaction score
2,418
Habari zenu wadau.

Natumai mu-wazima kabisa. Well, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada wa maandalizi na upishi juu ya hawa kuku kama wa ChickenKing au Marrybrown.

Hawa kuku sjui wanapikwaje kwa kweli ni tofauti na sekela au wale tuliozoea kwenye vibanda vyetu vya chips kama kuna yeyote mwenye ujuzi atujuze wakuu. Natanguliza shukran kwenu.

Nawasilisha.

gorgeousmimi, farkhina
 
Last edited by a moderator:
Hivi hakuna ajuae.
 
Nakumbuka marrybrown nlikula chicken nuggets ndio unaulizia kama hizi?



Kama hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…