Msaada:Jinsi ya kupika mkate wa Mofa

Msaada:Jinsi ya kupika mkate wa Mofa

wapendwa wapishi mbona mko kimya. Jitokezeni mnisaidie pls.
 
wapendwa wapishi mbona mko kimya. Jitokezeni mnisaidie pls.
 
Jamani anaejua kutengeneza mkate wa mofa msaada tafadhali.

Mkuu samahani kwanza nauliza huwo mofa uliona wapi au duka gani unakouzwa maana hata mimi nausikea tu kwenye vibaraza vya kahawa kama kuna mkate wa mofa basi
 
Duu isije kuwa ni jina kama azam au super loaf kama vipi tupia picha..
 
Back
Top Bottom