Msaada jinsi ya kupika pilau zuri

Msaada jinsi ya kupika pilau zuri

Mbotech

Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
81
Reaction score
79
Jamani mimi ni mweupe kabisa kwenye kupika, hivyo basi naombeni mnisaidie jinsi ya kutoa pilau zuri maana nategemea kuanza kuishi geto hivi karibuni asanteni
 
wali unaweza kupika ?? alafu unawaza kupika pilau getoo ?? aaaaah mkuu hauko serious
 
Jamani mimi ni mweupe kabisa kwenye kupika, hivyo basi naombeni mnisaidie jinsi ya kutoa pilau zuri maana nategemea kuanza kuishi geto hivi karibuni asanteni
geto sana tunapika ugali kitu cha fasta, sasa pilau, mara vutunguu swaum, mara mdalasini, mara iliki nk. utawezea wapi ??
 
Back
Top Bottom