Msaada jinsi ya kupunguza kb za picha bila kuathiri Ubora

Msaada jinsi ya kupunguza kb za picha bila kuathiri Ubora

Bonlove

Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
45
Reaction score
5
Wadau naomba msaada jinsi ya kupunguza picha bila kuathiri ubora wake. mfano picha ina ur 175 na upana 125 ikiwa ina ukubwa wa mb 2(megabyte) au kb 200. uipunguze iwe na kb 4? tunafanyeje wadau?
 
tumia Microsoft photo editor iko kwenye office 2010 au 2007
it is the best
simple straight forward
Just right click open with
 
kaka hilo neno bila kuathiri ubora ndio linatatiza.

175x125 ni possible kabisa kua kb4 ila rangi zitafifia kidogo.

ona mfano hii picha ni 500x500 lakini ina kb 11 tu.

780-9701_PI_1000017MN


kuweza kutengeneza picha zenye kb ndogo sio ngumu mimi hutumia photoshop na kuna maelezo kidogo wakati wa kusave.

ukishamaliza kuandaa picha yako kwenye photoshop (adobe) save kwa web na device utaona page ina pop up kuchagua aina ya picha unayotaka kusave.

sababu wewe unataka picha ndogo kwa memory chagua png 8 bit halafu adjust adjust quality punguza rangi utaona picha inakua ndogo sana.

mfano picha ya hapo juu niliyoeka ni ndogo sababu haina rangi nyingi
 
Ni vigumu sana kupunguza size bila ku alter quality ya pixels kwa sababu unapopunguza size ndio unapotemper na hizo pixels. Labda kama kuna maajabu mengine ya teknohama.
 
Ni vigumu sana kupunguza size bila ku alter quality ya pixels kwa sababu unapopunguza size ndio unapotemper na hizo pixels. Labda kama kuna maajabu mengine ya teknohama.

Inawezekana kabisa kuipunguza picha size bila kuharibu ubora wake na bila kuicrop.
Cha kufanya download software ya kuedit picha inaitwa Fomart Factory. Hii ni bora sana kuedit picha za aina zote.
 
Back
Top Bottom