Ni vigumu sana kupunguza size bila ku alter quality ya pixels kwa sababu unapopunguza size ndio unapotemper na hizo pixels. Labda kama kuna maajabu mengine ya teknohama.
Wadau naomba msaada jinsi ya kupunguza picha bila kuathiri ubora wake. mfano picha ina ur 175 na upana 125 ikiwa ina ukubwa wa mb 2(megabyte) au kb 200. uipunguze iwe na kb 4? tunafanyeje wadau?