Msaada jinsi ya kurasimisha biashara ya video gaming

Hondelo

Senior Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
155
Reaction score
242
Habari wakuu;
Kuna ndugu yangu yupo kwenye harakati za kufungua playstation center, naomba kujua taratibu za kupata vibali n.k... ili kuifanya biashara hiyo kuwa halali na wapi kwa kufanya usajili na mengine kama yapo ya kufuata kuihalalisha kuepuka kuwa kinyume na sheria.
 
Anzia TRA huko utapata maelezo yote,ila cha kuzingatia usifungue muda wa asubuhi maana kuna baadhi ya watoto watatega kwenda shule kucheza game na utapewa kesi na wazazi,funguo jioni watoto wakisharudi shule
 
ANZIA BRELA KUPATA USAJILI WA BIASHARA YAKO KISHA FUATA HATUA ZA TIN TRA NA LESENI YABIASHARA NIDIPO UFUNGUE
 
Anzia TRA huko utapata maelezo yote,ila cha kuzingatia usifungue muda wa asubuhi maana kuna baadhi ya watoto watatega kwenda shule kucheza game na utapewa kesi na wazazi,funguo jioni watoto wakisharudi shule
Sawa asante
 
Back
Top Bottom