Anzia TRA huko utapata maelezo yote,ila cha kuzingatia usifungue muda wa asubuhi maana kuna baadhi ya watoto watatega kwenda shule kucheza game na utapewa kesi na wazazi,funguo jioni watoto wakisharudi shuleHabari wakuu;
Kuna ndugu yangu yupo kwenye harakati za kufungua playstation center, naomba kujua taratibu za kupata vibali n.k... ili kuifanya biashara hiyo kuwa halali na wapi kwa kufanya usajili na mengine kama yapo ya kufuata kuihalalisha kuepuka kuwa kinyume na sheria.
ANZIA BRELA KUPATA USAJILI WA BIASHARA YAKO KISHA FUATA HATUA ZA TIN TRA NA LESENI YABIASHARA NIDIPO UFUNGUEHabari wakuu;