Mmh kwa hyo simu mkuu sidhani kma utapata custom ROM ya android 10. Hyo simu ina android Go kwahyo hata Generic System Images (GSIs) zinazingua sana pia utapoteza huo muonekano wa software ya Samsung...
Redmi 9c ina support kidogo.Mkuu vipi kuhusu redmi 9 C?!