Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Ina mda gani toka ipoteheHabarini ndugu. Jumamosi ya tar 06.07.2019 niliangusha simu yangu na ikaokotwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari fulani, kijana alitu pa simu cards zote akaenda kuuza kwa mtu ambaye mie ninamfahamu so simu nikaiona kwa jamaa.
Sasa jana nilieenda mjini Mwanza kuiflash maana dogo alipeleka kwa mtu itolewe password wakashindwa wakaiharibu kabisa. Jna nilisajili card mpya za simu na kuinstall upya apps kama whatsapp, jf na nk.
Sasa naomba msaada nataka niipate account ya whatsapp ya ile namba iliyopotea na magroup yote.
Ina mda gani toka ipotehe
Ina mda gani toka ipotehe
Ina mda gani toka ipotehe
Install wasapu,tumia ile namba ya mwanzo uliyosajilia,kila kitu kinarudi,ila hutapata sms picha,videos na vingine.Pia groups zote zinarudiIlipotea jmosi
Install wasapu,tumia ile namba ya mwanzo uliyosajilia,kila kitu kinarudi,ila hutapata sms picha,videos na vingine.Pia groups zote zinarudi
Impossible.. move on.Habarini ndugu. Jumamosi ya tar 06.07.2019 niliangusha simu yangu na ikaokotwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari fulani, kijana alitu pa simu cards zote akaenda kuuza kwa mtu ambaye mie ninamfahamu so simu nikaiona kwa jamaa.
Sasa jana nilieenda mjini Mwanza kuiflash maana dogo alipeleka kwa mtu itolewe password wakashindwa wakaiharibu kabisa. Jna nilisajili card mpya za simu na kuinstall upya apps kama whatsapp, jf na nk.
Sasa naomba msaada nataka niipate account ya whatsapp ya ile namba iliyopotea na magroup yote.
Install wasapu,tumia ile namba ya mwanzo uliyosajilia,kila kitu kinarudi,ila hutapata sms picha,videos na vingine.Pia groups zote zinarudi
Anabackup nini sasa na simu haina kitu. Hiyo option inaitwa "restore" siyo backup.Kuna kitu kinaitwa backup ukisha download kuna option inakuja ya kubackup inatumia dakika kadhaa,
Usipo fanya hivo videos, picha na pia meseji zako za nyuma havitarudi
Yaan n hv,,, ukitaka account yako irudi n lazma ujisajili kwa namba ile ile ya kwanza ,,,sasa kama imepotea n lazma uka renewHabarini ndugu. Jumamosi ya tar 06.07.2019 niliangusha simu yangu na ikaokotwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari fulani, kijana alitu pa simu cards zote akaenda kuuza kwa mtu ambaye mie ninamfahamu so simu nikaiona kwa jamaa.
Sasa jana nilieenda mjini Mwanza kuiflash maana dogo alipeleka kwa mtu itolewe password wakashindwa wakaiharibu kabisa. Jna nilisajili card mpya za simu na kuinstall upya apps kama whatsapp, jf na nk.
Sasa naomba msaada nataka niipate account ya whatsapp ya ile namba iliyopotea na magroup yote.
SawaYaan n hv,,, ukitaka account yako irudi n lazma ujisajili kwa namba ile ile ya kwanza ,,,sasa kama imepotea n lazma uka renew