stevennelson
Member
- Sep 29, 2024
- 14
- 12
Kuna jamaa akaunti yake ya Facebook imedukuliwa na mdukuzi amebadilisha mifumo mmiliki wa akaunti akiingia inakataa inamdai password.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ifunge kabisa au reset pass.Kuna jamaa akaunti yake ya Facebook imedukuliwa na mdukuzi amebadilisha mifumo mmiliki wa akaunti akiingia inakataa inamdai password.
Hata mimi yalinikuta. Kabadilisha hadi email hata ukijaribu kureset wanatuma code kwenye email ya kwao sio yangu sasa unarudisha vipi hiyo account? Hiyo imeenda.Hata mm nina jamaa yangu amedukuliwa alafu mdukuzi anatumia account kuombea hela na amem block asijue kinachoendelea