stevennelson
Member
- Sep 29, 2024
- 14
- 12
Ifunge kabisa au reset pass.Kuna jamaa akaunti yake ya Facebook imedukuliwa na mdukuzi amebadilisha mifumo mmiliki wa akaunti akiingia inakataa inamdai password.
Hata mimi yalinikuta. Kabadilisha hadi email hata ukijaribu kureset wanatuma code kwenye email ya kwao sio yangu sasa unarudisha vipi hiyo account? Hiyo imeenda.Hata mm nina jamaa yangu amedukuliwa alafu mdukuzi anatumia account kuombea hela na amem block asijue kinachoendelea