Msaada: Jinsi ya kurudisha Google Account

phzhenry

Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
39
Reaction score
31
Nina email yangu na password ila namba nilofungulia sina, sasa nahitaji kurudisha account yangu ya google nafanyaje maana nikijaribu naambiwa nijaze code.

Kwa anayefahamu namna nyingine ya kurudisha account bila kutumia namba ya simu anielekeze.
Screenshot_20240915_182307.jpg
 
Nina email yangu na password ila namba nilofungulia sina, sasa nahitaji kurudisha account yangu ya google nafanyaje maana nikijaribu naambiwa nijaze code.

Kwa anayefahamu namna nyingine ya kurudisha account bila kutumia namba ya simu anielekeze.
View attachment 3096588
I-compress kwenye combustion chamber!! Ukitumia short wave ya cobwebs itakua rahisi.

Ukishindwa njoo inbox na chochote kitu
 
Kuna mifumo miwili ya kurudisha ACC ya Google. Kwa email nyingineyo ambayo uliisave kama backup, au Kwa namba ya simu.
Mm nilijaribu kurudisha Kwa backup email nyingineyo ambayo niliisave huko Nyuma. Ambapo hiyo email ya backup pia niliaachaga kuiitumia. Kwahiyo nikapambana kuifufua Ile backup email ndo nikarudi Sasa Kwa hii main. Walinipa siku 30. Nikafanikiwa
 
Me sikusev email nyingine yeyote
 
GMail wana mfumo mgumu wa kurudisha akaunti utafikiri ni akaunti ya benki

Wewe fanya kufungua akaunti nyingine hii chukulia imepotea
 
  • Tumia barua pepe ya urejeshaji: Ikiwa uliweka barua pepe ya urejeshaji wakati wa kufungua akaunti, unaweza kuchagua njia ya kupata msimbo wa kuthibitisha kupitia barua pepe hiyo badala ya namba ya simu.
  • Maswali ya usalama: Wakati mwingine, Google inaweza kukuuliza maswali ya usalama ambayo ulijaza wakati wa kufungua akaunti. Jibu maswali hayo kama yanapatikana kwenye hatua za urejeshaji.
  • Jaribu kutumia kifaa ambacho umeingia: Kama umewahi kutumia akaunti hiyo kwenye simu au kompyuta fulani, jaribu kutumia kifaa hicho kuingia. Google inaweza kutambua kifaa na kuruhusu urejeshaji bila msimbo wa simu.
  • Fuatilia mchakato wa urejeshaji wa Google: Nenda kwenye Google Account Recovery, weka anwani ya barua pepe yako, na fuata maagizo. Google inaweza kuuliza maswali mengine ya ziada ili kuthibitisha kuwa wewe ndiye mmiliki halali wa akaunti.
 
Msaada jinsi ya kufuta JF account
 
Haha hiyo oppotion kama sisi normal users hatuna uwezo wa kuifuta account zetu wenyewe, lakini kwa experience yangu kwenye systems, hiyo oppotion imeondolewa/hided ila ipo, kwa super user.
Mbona kama imekaa kikandamizaji sana. Yaani ni sawa na kutii kitu usichokipenda kisa wanaokwambia wanagawa oksijeni
 
Kwa situation iliyopo kwenye akaunti yako, kwa kuwa unasema unayo password, namna pekee ya kulog in ni kutumia kifaa ambacho umewahi kukitumia kulog in hapo mwanzo, na kuwa kwenye location ambayo pia umewahi kulog in ukiwapo.

Hapo utaweza just kusign in na kuitumia ila hutoweza kubadilisha chochote kama password na vingine. In short umepoteza control ya email yako. Mimi pia ninapitia the same situation.
 
Back
Top Bottom