Hivi unajuwa kuwa wengine yanawakuta haya kwenye taa zilizokuja na gari?Nunua taa original au nunua taa za mtumba hazichakai, lakini kama utaendelea kununua hizo ta za bei chee uswahili mwanzoni zinang'aa lakini ikipata joto tu inaanza kubadilika na kuwa blown/yellowish ...hata ukisafishaje baada ya mda zinarudia,
Gari yangu sijawai kubadilisha taa mkuu ni taa original za gariNunua taa original au nunua taa za mtumba hazichakai, lakini kama utaendelea kununua hizo ta za bei chee uswahili mwanzoni zinang'aa lakini ikipata joto tu inaanza kubadilika na kuwa blown/yellowish ...hata ukisafishaje baada ya mda zinarudia,
Basi ulibadilishiwa ukawekewa feki ikiwa pale bandarini, original hainaga kupaukaGari yangu sijawai kubadilisha taa mkuu ni taa original za gari
Asante sana kaka.Kuna kitu kinaitwa rubbing compound. Katafute inauzwa maduka yanayouza decoration za magari. Weka kwenye kitambaa anza kufuta taa zako zinarud kuwa kawaida. Pia inaondoa ukungu kwenye vioo vya gar
Another local method tumia colgate ile nyeupe.
Hii ya Colgate inakuajeKuna kitu kinaitwa rubbing compound. Katafute inauzwa maduka yanayouza decoration za magari. Weka kwenye kitambaa anza kufuta taa zako zinarud kuwa kawaida. Pia inaondoa ukungu kwenye vioo vya gar
Another local method tumia colgate ile nyeupe.
Kumbe na wewe una motokaa? Naomba lifti tafazali...Tumia majivu, ( weka majivu kwenye kitaulo safi anza kusugua taratibu mpaka uhakikshe taa imeanza kuteleza, mwagia maji safi umemaliza) ila make sure unayachambua kutoa vimkaa ili usikwangue taa...halafu lete mrejesho
Unapaka kwenye kitambaa inaanza kufuta.Hii ya Colgate inakuaje
Mmmh...kwani gari ni nini?Kumbe na wewe una motokaa? Naomba lifti tafazali...