Msaada jinsi ya kutatua tatizo hili kisheria

Msaada jinsi ya kutatua tatizo hili kisheria

Qifrishy

Senior Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
169
Reaction score
42
Habari wakuu.
Hapa jirani yangu kuna jengo la uchapishaji magazeti.
Hapo awali mashine zao za printing walkua wameziweka mbali na makazi yetu. ila hivi karibuni wamezihamishia upande ambao ni karibu na nyumba yangu. Sasa ni mwendo wa kelele hata usiku wa manane na kuna kua na ile harufu ya karatasi za magazeti. Pia wameweka na jenereta ambalo linaleta moshi pindi wakiliwasha.
Nimeenda serikal ya mtaa nao kimya hamna kilicho badilika.
Je hapo naweza fata hatua zipi kisheria kutatua tatizo hili.
Ahasanteni wakuu
 
kama amepewa vibali kuendasha hiyo shughuli maana yake yupo kisheria hivyo unajisumbua ila unayo haki kwenda mahakamani kama hayupo eneo hilo kisheria
 
sasa analeta usumbufu kwenye makazi ya watu.
ni kweli ilo swala linakubalika kisheria?.
 
Kafungue kesi mahakamani. Utaweza kushinda hiyo kesi tu iwapo utaweza kuonyesha madhara uliyopata kutokana na shughuli za huyo bwana. Kama hakuna madhara uliyopata, there is no way utashinda kwny hiyo kesi
 
Back
Top Bottom