Mashine ya mishumaa tuone sisi 0762612213 au pitia website yetu www.najidakia.comNatumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku wanajanvi,
Naombeni msaada kwa wanaojua jinsi ya kutengeneza mishumaa, shampoo na sabuni za kipande. Malighlafi zinazohitajika na gharama za kununulia malighlafi na vifaa kama mashine za kutengeneza mishumaa. Nampenda sana kuwa mjasiriamali nahitaji msaada wenu na ndo lengo la kuweka uzi huu.
Mnakaribishwa kwa michango yenu asanteni.