Msaada jinsi ya kutengeneza mkaa kwa matumizi ya nyumbani jamani

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
wakuu naomba kwa anayejua jinsi ya kutengeneza mkaa kwa kutumia kuni ndogondogo za hapa nyumbani au mkaa ule wa moto unaobaki jikoni anifundishe tafadhali aweke hapa tuweze nufaika wote asanteni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…