TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
wakuuu, habari, naomba msaada kwa mtu yeyote anayejua jinsi ya kutengeneza rangi za kucha za mikono na miguu kwa wanawake, aniambie, unatumia marigafi gani, mchanganyiko wake, na mashine gani zinatumika, na gharama zake ni shilingi ngapi?? au kama unajua kiwanda chochote kinachotengeneza rangi hizo. asanten