Msaada: Jinsi ya kutoa google FLP kwenye simu ya android Tecno

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu kwa anaejua maujanja maana nimeingiza email yangu kama mara nyingi inavyofanyika lakini nikifika mwisho inaandika try again hivyo naomba nipewe njia nyingine ili niweze kutoa flp kwenye hii Tecno.
 
Simu za Tecno nyingi zinatoka tu hivi hivi Angalia keyboard ya simu somewhere utapata upenyo wa kuingia setting za simu ama kwenye browser, kupitia hapo format simu, ama kama utaingia kwenye browser download shortcut ya setting Kisha ingia setting then format.
 
Na fomart kule chini kabisa kwenye setting sio mkuu.

hebu nielekeze vizuri
 
na fomart kule chini kabisa kwenye setting sio mkuu
hebu nielekeze vizuri
Una format kawaida kama unavyo format siku zote, utafute tu namna ya kutoka kwenye frp kwenda kwenye setting, Mara nyingi unapitia keyboard.
 
Umenipa ka tricky sheikhe aisee
 
Sijui tunaweza pata ka screenshots tujifunze kwa maandishi
 
Ina android version ya ngapi,?
Uli update security patches?
 
Ina android version ya ngapi,?
Uli update security patches?
Same issue niko nayo kwa tecno spark 3 pro, nadhani ni issue za security kwa sababu nikijaribu kubypass kwa keyboard hainipi zile options zinazo takiwa.Au kama kuna anaejua sofware ya kutoa frp kwenye hizi latest mtk msaada tutani
 
ingia youtube kuna maelekezo ya wahindi namna ya kutoroka kupitia setting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…