Habari wana jamii!Nahitaj msaada kwa wale wanaojua jinsi ya kutoa tatto,nina mdogo wangu wa kike 17,asubh naona anatembea kainama na kafunika bega la kushoto nimemchunguza vzr ana tatto kasema kachora jana inatoa majimaji,imevimba na inamuuma sana!Nataman kumpiga ila nashindwa hii hali inanitia wasiwasi nafanyaje na nini madhara!msaada jaman