Juzi tarehe 06 march 2025, Bugando medical centre walitangaza nafasi za ajira kwa kada mbali mbali za afya ila tangazo halikuainisha maombi yatumwe kwa njia gani yani mfano kwa online portal,Email au kwa kupeleka barua posta. Nikiingia Career portal yao haifanyi kazi ni kama dead link.
Kwa anayejua anisaidie kujua haya maombi yanatumwa kwa njia gani? Nimeambatanisha tangazo husika.
Kwa anayejua anisaidie kujua haya maombi yanatumwa kwa njia gani? Nimeambatanisha tangazo husika.