Japo umekwenda jukwaa tofauti, ila kwa mimi, nafikiri unaweza kutumia USB modem, ambazo nyingi huwa zinakuja na drivers zinazohitajika kukupa connection. Vile Ethernet imegoma, ni kwamba hiyo ni computer mpya, au umeweka OS mpya, so inamaana hakuna network drivers. Ambazo unaweza kuzipata kirahisi kwenye internet, kwa kuingia kwenye website ya mtengenezaje wa computer yako au kama una cd ya driver iliyokuja na computer unaziweka tena. Kama hauna, tumia computer ya jirani kuzidownload, then install kupitia USB flash drive the network itakubali.