Msaada: Jinsi ya kutumia whatsapp kwenye PC

Msaada: Jinsi ya kutumia whatsapp kwenye PC

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Habari ni majanga kidogo nimepata kwa sasa sina simu ya smart na whasapp ya pc inataka uscan je nijinsi gani nitaweza kuitumia kwa kusajili namba moja kwa moja.

Ahsante
 
Maumivu yake kwenye bando utaniambia mm nilikua natumia GB moja au zaidi kwenye PC nikaona nibwage tu nirudi kwenye simu. Pakua blue stack iayowatsapp utasajiri namba kawaida
 
Habari ni majanga kidogo nimepata kwa sasa sina simu ya smart na whasapp ya pc inataka uscan je nijinsi gani nitaweza kuitumia kwa kusajili namba moja kwa moja.

Ahsante

kama PC yako haina uwezo mzuri download MEMU android emulator

kama pc yako inauwezo enable VT then download
NOX APP PLAYER nayo ni adroid emulator nzuri.

MEMU OR NOX ni nzuri sana na nyepesi na ni free.
 
chakushangaza memu imekataa ila nox imekubali ila ina gomagoma sometime
 
Back
Top Bottom