Kufanya live streaming kwa ku connect camera na hiyo video capture, kuonyesha matukio live toka kwenye camera na kuunganisha na laptop/computer, ku connect laptop kwenye monitor ya pili, kuconnect streaming box to the TV
Pia hiyo unaweza connect kwenye simu na camera kama unatumia simu kufanya live streaming.
Hapo utaingunusha na camera harafu unacinnect na devices kama ni simu, computer, iPad au laptop harafu unaenda live.
Nyongeza hizo waya nyingi nyingi unaunganisha kwa sababu kuna waya wa sauti, video, n.k hivyo nyaya zote utaunganisha.
Ila kama vifaa vipo umbali unaweza kuongeza/kununua HDMI wire/cable/port yenye urefu kama unao hitaji.