paul m kibinza
Member
- Jun 19, 2017
- 30
- 18
NdiyoUnataka ku stream live wapi? Kwenye social media kama YouTube au...
Nyongeza tafadhali
Kufanya live streaming kwa ku connect camera na hiyo video capture, kuonyesha matukio live toka kwenye camera na kuunganisha na laptop/computer, ku connect laptop kwenye monitor ya pili, kuconnect streaming box to the TVNdiyo
Ndiyo
Sijajua power mix umemaanisha nini! Ili kukusaidia lazima kujua content unaitoa wapi? Kama ni camera lazima iwe na out ya RCA(Camera nyingi za kisasa hazina mfumo huo, zinatumia HDMI). Kama power mix unamaanisha video switcher pia kuna uwezekano mkubwa wa kufeli kwa sababu hazipokei USB.
Panapowezekana, kuchukua signal kutoka kwenye kisimbuzi au deki kwasababu zenyewe huwa na RCA. Kila rangi unaoanisha ambapo kuna video(njano) na mbili za sauti. Utachomeka kwenye PC na inabidi uwe na streaming software installed kama wirecast au OBS(Hii inapatika bure). Mara nyingi havihitaji uweke driver, ukivichomeka vinafanya vyenyewe. Changamoto ya hivi vya rangi tatu ubora wa picha yako utaishia 480 tofauti na HDMI vingi vikiwa 1080
Asante sana kaka unaweza kunitumia clip fusion ya videoKufanya live streaming kwa ku connect camera na hiyo video capture, kuonyesha matukio live toka kwenye camera na kuunganisha na laptop/computer, ku connect laptop kwenye monitor ya pili, kuconnect streaming box to the TV
Pia hiyo unaweza connect kwenye simu na camera kama unatumia simu kufanya live streaming.
Hapo utaingunusha na camera harafu unacinnect na devices kama ni simu, computer, iPad au laptop harafu unaenda live.
Nyongeza hizo waya nyingi nyingi unaunganisha kwa sababu kuna waya wa sauti, video, n.k hivyo nyaya zote utaunganisha.
Ila kama vifaa vipo umbali unaweza kuongeza/kununua HDMI wire/cable/port yenye urefu kama unao hitaji.
Asante sana kaka unaweza kunitumia clip fusion ya video