Huwezi unlocked kwa cracked software hiyo ndugu! Solns hapo ni 2 tu..Wataalam kuna hii simu tajwa hapo juu inatumia line mbili ila iko locked kwenye vodacom. Nimejaribu kuunlock kwa kutumia NCK Android MTK ile cracked nimeshindwa. Nakutana na error 36 phone not support meta connection, lakini inakuwa tayari ishaboot upande wa meta ila connection inastop hapo. Processor ya simu ni MT6739.
Msaada wenu tafadhali.
cc
Chief-Mkwawa na wataalamu wengine.
shukran kaka. ngoja nijaribu ya firmware hiyo.Huwezi unlocked kwa cracked software hiyo ndugu! Solns hapo ni 2 tu..
Mosi: Ku unlock kwa Tools i mean box kabisa sio hizo cracks, tafuta fundi alie na box akakutolee network lock, kama inadai unlocked code ukiweka laini tofauti basi tafuta wajuvi humu wamo waku calculatie unlocked code kwa IMEI number...
Pili: Ukifeli hizo options hapo juu tafuta unlocked firmware/rom kisha flash...