Darucha
Senior Member
- Dec 28, 2020
- 111
- 211
Jamani natafuta huu wimbo muda mrefu Bila mafanikio sijui jina lake staili ya uimbaji ni kama ya magic system au papa Wemba ile nyimbo kama sio mkongo aliyeimba Basi ni watu kutokana West Africa au central Africa hii nyimbo inaimbwa kwa mtindo huu naandika Kiswahili.
"Kiberenge kinaokoaaaa
"Kiberenge kinaokoaaaa"
"Kiberenge kinaokoaa
Nimeandika Kiswahili lakini nafikiri hawaimbi Kiswahili mwanzoni unaanza na kabiti kanaanza vizuri sana kama wewe ni mfuatiriaji wa nyimbo za zamani utajua namaanisha wimbo gani